Unaambiwa Mashambulizi Mengi ya internet China yanatoka Marekani | ZamotoHabari.

Kituo cha kushughulikia na kuratibu matukio ya dharura ya mtandao wa kompyuta cha China, hivi karibuni kimetoa ripoti ya mwaka 2018 kuhusu hali ya jumla ya usalama wa mtandao wa Internet ya China. 


Takwimu zinaonyesha kuwa, mashambulizi mengi ya kimtandao dhidi ya China yanatoka Marekani, na mashambulizi hayo bado yanaongezeka. 


Wataalamu husika wanasema, Marekani inailaumu China kuwa ni tishio kubwa la usalama wa mtandao wa internet wa Marekani, lakini takwimu hizo zinaonyesha kuwa, Marekani ndio nchi inayofanya mashambulizi mengi zaidi ya mtandao wa Internet.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini