VIDEO: RC Makonda Atua Misri ”Nataka Kwanza Kuiyona Timu Yangu, Mpenzi wa Mpira Hawezi Kukata Tamaa Kwa Mechi Moja” | ZamotoHabari.



Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Uhamasishaji wa timu ya Tanzania, Taifa Stars amefika tayari jijini Cairo nchini Misri kwaajili ya kuwatia nguvu wachezaji kabla ya kuwavaa Harambee Stars ya Kenya.

VIDEO:


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini