Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Kitongoji cha Bunku kilichopo Kijiji cha Mayaha Kata ya Minyughe wilayani Ikungi mkoani Singida baada ya kukagua ujenzi wa Shule ya Msingi na kuahidi kuendelea kusaidia ujenzi kwa kutoa mifuko ya saruji 120 na mabati.
Burudani zikiendelea kwenye mkutano huo
Katibu Mwenezi na Itikadi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata hiyo Paul Hema akizungumza kwenye mkutano huo,
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments