Mshiriki wa mashindano ya ulimbwende Mkoani Shinyanga (Miss Shinyanga 2019) Nicole Emmanuel, amedai kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani na waandaji wa mashindano hayo Mjini Shinyanga wakati akidai fedha zake nauli shilingi 70,000.
VIDEO:
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments