Nyota yako Ieo Jumanne 02 July 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMANNE 02/ JULAI/2019:

NGE (Oktoba 23-Nov 22)
kuwa makini sana Adui yako inaonekana atakusumbua sana na kukuzuia wewe kufanya mambo yako uliyokuwa unataka kuyafanya kwa faida yako.

MSHALE (Nov 22- Desemba 21)
Jaribu sana siku ya leo na wiki hii kutafuta undani wa mambo nyota zinaonyesha kuwa utakosana na washirika wako katika biashara.

MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Leo Utatokewa na mambo mazuri, kuna safari itajitokeza kati ya leo na jumanne itakayokupeleka sehemu ambayo hukuitarajia na utapata mafanikio makubwa huko.

NDOO ( Jan 20- February 19)
Dalili ya wewe kutofanikiwa katika yako malengo yako zitajitokeza baada ya kugombana na rafiki yako, jitahidi kumuomba mungu kwa sala kwa mujbu wa imani yako utafanikiwa.

SAMAKI ( February 20- March 20)
Leo Inaonekana utapata mafanikio makubwa na kutimiza malengo yako uliyojipangia, usijaribu kukiuka makubaliano uliyowekeana na jamaa zako.

PUNDA ( March 20-April 20)
Jitahidi kadri uwezavyo na ulivyojaaliwa na Mungu kujenga umoja wako na wa familia yako.

NGOMBE( April 21- May 20)
Kama umekwama katika mambo yako kutana na mkubwa aidha wa serikali au dini atakusaidia.

MAPACHA ( May 21- Juni 20)
Jaribu kadri uwezavyo kuwa mkweli katika mambo yako hasa yanayohusiana na mapenzi ,biashara au maisha yako na utaona faida yake. Kinyume cha hapo utakwama tu..

KAA ( Juni 21- Julai 22)
Leo kuna kila dalili ya kupata kile ulichokuwa unakitaka. utakutana na watu ambao watakusaidia sana kukamilisha malengo yako uliyojiwekea ya kimaisha.

SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Nyota zinaonyesha kuwa ndoto zako zitatimia na utakuwa na uwezo wa kutekeleza yote ambayo uliyokuwa umeyadhamiria katika kipindi hiki jaribu kuwa na subira.

MASHUKE (Agosti 23-Sep 23)
Kama ulikuwa na mipango yako jiandae kufurahi kwa sababu mambo yatakuwa mazuri na kama safari kama unayo itakuwa na faida kubwa sana kwako.

MIZANI ( Sep 23-Oktoba 23)
Mipango yako au mipangilio uliyokuwa nayo itafunguka baada ya wiki kutoka sasa. Hakutakuwa na mikwamo yoyote                       


SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo,  tunatowa pete na mikufu ya  bahati, upata kazi,  kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini