Nyota yako Leo Alhamisi 11 Jul | ZamotoHabari.



☣️SIMBA LEO-  (Julai 22- Agosti 22)
Leo tumia akili inaonekana usipokuwa makini kunaweza kukazuka Uhasama mkali sana kati yako na mtu wako wa karibu jaribu kujiepusha na hayo magomvi.

☣️MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Leo Jiepushe na maamuzi yoyote unayotarajia kuyafanya unaweza kujikuta ukiamua mambo hovyo na kupelekea kuharibika kwa mipango yako, kuwa muangalifu sana.

☣️MIZANI– (Septemba 23- Oktoba 23)
ALIHAMISI ya leo ni njema na nzuri kwako Biashara au kazi utakayoifanya ikakusukuma mbele au kupata mafanikio, Hali hii ya mafanikio na kufaulu isikufanye ulegeze juhudi zako ulizoanza nazo mwanzoni mwa wiki hii.

☣️NG'E- (Oktoba 23- Novemba 22)
Siku ya leo Masuala ya pesa yasikuletee khofu kwako, shughuli ambazo umezipanga zifanikiwa hakuna hitilafu yoyote ila rekebisha mambo machache na utaona mafanikio makubwa.

☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Hii ni jumatano njema sana kwako ila unahitajika kuwa mnyenyekevu kwa kila kitu na kila mtu, watu walio karibu na wewe wanakuhitaji sana jaribu kujikurubisha kwao ili kuondokana na mikosi na mabalaa.

☣️MBUZI– (Desemba 21–  January 20)
Kwa hakika Leo itakuwa ni siku nzuri murua kushughulikia mambo ambayo yana manufaa kwako mwenyewe na jamii nzima inayokuzunguka leo utapata marafiki na mambo mapya.

☣️NDOO– (Jan 20- February 19)
Jitahidi kuyashughulikia mambo ambayo yanakukabili hasa kwa wakati huu bila ya kuanzisha mambo mapya Hili litakuwa jambo la busara zaidi kwako na kwa wanaokutegemea.

☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Utafutaji wako wa pesa ambao ulikwama utafaulu Pamoja na kwamba umekuwa katika hali mbaya sana kimawazo na kifikra hasa kuhusiana na familia yako. jitahidi uwe na mawazo chanya na utaona faida yake.

☣️PUNDA– (March 20- April 20)
Siku ya leo ni nzuri na tumia muda mwingi katika kupanga mambo yako kwa sababu ukifanya mambo kwa haraka na pupa unaweza kujiletea matatizo au ukaijiingiza katika balaa kubwa hapo baadae.

☣️NG'OMBE– (April 21- May 21)
Leo siyo siku njema sana kuwa makini na tahadhari inaonekana utakabiliwa na upinzani mkubwa katika mambo yako, hakikisha kwamba umejikinga na jambo lolote kabla hujapata matatizo vinginevyo maisha yako yatakuwa mtegoni.

☣️MAPACHA– (May 21- Juni 20)
Siku ya leo itakuwa nyepesi sana kwako mambo nayo yatakuwa mepesi ila jiepushe na magomvi hasa yanayohusiana na masuala ya kimapenzi Mambo yako yatakamilika na kukuacha ukiwa na furaha.

☣️KAA– (Juni 21- Julai 22)
Huu ndio hasa muda wa wewe kubadili kazi au jambo unalolifanya kwa sababu unatumika bure na hakuna faida unayipata , fanya juu chini ukamilishe mambo yako muhimu mapema iwezekanavyo.                                                         
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, na naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku. ingia katika pager yetu ya Facebook.>> tumaini tiba asili <<utaona yota yako kila siku  SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +25545495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini