NYOTA YAKO LEO IJUMAA 12/ JULAI/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 23)
Leo hii ikitokea ndugu yako au mpenzi wako akakukosea na akikuomba radhi au akataka umsamehe, mkubalie lakini siyo hapo hapo Elewa kuwa watu wengi wanakukubali kwa kazi zako nzuri unazozifanya jaribu kuwa karibu na watu wa ibada ili mambo yako yabarikiwe.
☣️MASHUKE– (Agosti 24- Septemba 23)
Wiki hii kuna kila dalili ya kuibiwa mali zako au kupoteza vitu vya thamani kubwa, Shughuli zako zote leo simamia mwenyewe Tahadhari kukimbiwa na Mkeo mumeo au Mpenzi wako Jihadhari siku ya leo wenda ikawa mbaya zaidi wako.
☣️MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Kuna mambo mazuri yanakujia katika biashara au kazi yako jihadhari na vikundi visivyofaa hasa nyakati za mchana wasiliana na wataalamu wa shughuli zako unazofanya ili wakusaidie.
☣️NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Wiki hii unatakiwa kuwa mkali na jasiri kwa muda huu ili kuyafanya yaongoke Usikubali kumuwekea dhamana mtu yoyote hata awe ndugu yako.
☣️MSHALE– (Novemba 22 - Desemba 21)
Wiki hii unashauriwa usisafiri ili kujikinga na mabalaa katika safari hizo Jaribu kuwa muangalifu na yoyote anayetaka kushirikiana na wewe. Hifadhi pesa zako kwa sababu utazihitaji muda si mrefu kutoka sasa.
☣️MBUZI– (Desemba 21– January 20)
Kuanzia leo mpaka siku kama ya leo wiki ijayo kuna kila dalili za kufanikiwa katika mambo yako unashauriwa kuutumia muda huu kukamilisha mambo yako uliyokuwa umeyapanga kuyafanya. Toa sadaka kwa wale wenye kuhitaji msaada wako.
☣️NDOO– (January 20– February 19)
Kuna uwezekano wa kupata bahati kazini kwako leo au kesho au utaletewa biashara ambayo itakuletea faida kubwa kimaisha Jaribu kuwa muangalifu, mipango yako yote uliyoipanga wiki hii iache kabisa.
☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Biashara zako zitakuletea faida kubwa ambayo hukuitegemea Yule rafiki yako uliyemkosea hatakusamehe madhambi uliyomfanyia na anafanya mpango wa kukuangamiza Jitahidi kukutana na wakubwa zake wakusaidie kupata ushauri.
☣️PUNDA- (March 20- April 20)
Utapatwa na mambo ya ajabu ajabu, kunaweza kutokea ugomvi mkubwa au mambo ambayo yatakushangaza usibishane na watu usiowajua leo hii utapata safari ya ardhini itakayokupeleka sehemu ambayo hujawahi kufika.
☣️NG’OMBE– (April 23– May 21)
Kuna bahati huko uendako au ulikopanga kwenda Kuna uwezekano wa kutokea matatizo nyumbani kwako au kwa mtu anayekuhusu hasa ukikutana na watu wanaozozana barabarani.
☣️MAPACHA- (May 23- Juni 23)
Leo hii itakuwa ni siku nzuri kwa kila jambo utakalolitenda. Unashauriwa kuanzisha mambo mapya leo kwani ndiyo siku yako nzuri na ya bahati kubwa sana.
☣️KAA– (Juni 22– Julai 23)
Uhusiano wako na mtu uliyempata hivi karibuni awe ni mpenzi au rafiki utaimarika, Unashauriwa kuwa makini na hao marafiki wapya watakaokujia siku za karibuni hasa akiwa ni mwanamke.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments