Nyota Yako Leo Ijumaa Jul 05 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO IJUMAA JULAI 05/2019:

🔯SIMBA LEO– (Julai 23– Agosti 22) E Q.
Inaonekana ni siku ya mapenzi na mahaba kwa sababu sayari ya zuhura inaingia katika nyota yako.Hii vile vile inaonyesha kwamba mazingira yatakuwa tofauti na unavyofikiria hivyo kuwa muangalifu sana na watu usiowafahamu.

🔯MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23) F R.
Siku ya leo Sayari ya Zohal imesimama katika nyota yako na itakufanya usiwe na muda kushughulikia masuala ya mapenzi fanya mamboyako muhimu kulinda nyota yako hiyo ndio njia ya kuepuka   kulalamikiwa na watu wako wa karibu.

🔯MIZANI– (Septemba 24- Oktoba 23) G S.
Leo inaonekana utakuwa na mambo mengi yatayokushughulisha kama ilivyokuwa wiki iliyopita na shughuli za kazi zitaongezeka kidogo. Usitafute sababu ya kukwepa shughuli hizo ila jipunguzie majukumu utaumia.

🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22) H T.
Hii ni siku nzuri kama ukiwa na mpango wa kufanya chochote. Manunuzi yote makubwa yana baraka zote ukiwa wewe mwenyewe au ukiwa na mshirika wako. Leo ndio wakati hasa wa kufanya mipango yako ya kimaisha.

🔯MSHALE– (Novemba 23– Desemba 21) I U.
Siku ya leo fanya mawasiliano na jamaa zako walio nje ya nchi. Kama kazi zako zikiwa zinahusiana na wageni utapata nafasi nzuri itakayokushangaza Kama una mpenzi anaishi nje, basi tegemea kupata habari za kufurahisha za mualiko wa kumtembelea.

🔯MBUZI– (Desemba 22– January 20) J V.
Leo Sayari ya mushtara inaingia katika nyota yako na hiyo inashiria kuanza kufunguka kwa mambo yako yaliyokwama, utapata marafiki wengi wa jinsia tofauti na yako ambao watakufurahisha. Ni wakati mzuri wa kufanya biashara.

🔯NDOO– (January 21– February 19) K W.
Tumia siku ya leo huu kujifurahisha Sayari zote zinazohusiana na mambo ya biashara ziko kwenye nyota yako wiki hii. Utapata mambo mapya, yaliyopotea yatarudi, waliowakorofi wataacha ukorofi wao na waliokukatalia watakubali.

🔯SAMAKI– (February 20- March 20) L X.
Ni siku nzuri na ya bahati kwako ukishindwa kutumia bahati hiyo usijilaumu, wala usiseme umetengwa. Toka na upambane pesa utapata fanya biashara, anza kunufaika pesa utakayoipata Changamka usilale.

🔯PUNDA– (March 20- April 20) A M Y.
Leo Inaonekana marafiki wanadhamira ya kukuudhi. Tafuta sababu yoyote ya kuwakwepa. una furaha na hupendi mtu yoyote akukasirishe, jiepushe sana na marafiki au washirika ambao unaona watakukasirisha.

🔯NG’OMBE– (April 21– May 21) B N Z.
Siku ya leo amua moja Umefanikiwa kujiepusha na kufanya maamuzi mazito sana katika kipindi wiki nzima iliopita. Inaonekana kabisa kwamba ndani ya moyo wako unajua kabisa kitu gani cha kufanya na ukifanye lini lakini unashindwa kufanya kwa sababu unataka kumhifadhi mtu Achana na hayo mawazo.

🔯MAPACHA– (May 20– Juni 21) C O.
Kuna jambo la kukufurahisha litakutokea kazini na litakufanya uache mambo yote ili kulishughulikia Kama utajisikia umechoka kiakili fanya mazoezi au kimbia au tembea tembea. Kuna uwekezakano wa kukutana na rafiki au mshirika wako ambaye atakufanya ufurahie maisha leo.

🔯KAA– (Juni 22– Julai 21) D P.
Leo inaonekana kuwa ijumaa itakayokuwa na faraja kwako, jitahidi kufanya machache utakayoweza ili kuepukana na matatizo. Jiahidi wewe mwenyewe kwamba utatekeleza majukumu yaliyobaki wiki ijayo. Uwezekano wa kutekeleza upo unachotakiwa kufanya ni kutumia akili na ujasiri.                                                     
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini