NYOTA YAKO LEO JUMAMOSI 13/ JULAI/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 23)
Leo kama wewe ni mwanamke Ukikutana na mtu mwenye nywele nyingi, basi hiyo ni dalili ya kupata kila kitu Ulichokuwa anakitaka kutoka kwa mepenzi wako kama ni Mwanamme hiyo ni dalili kuwa mpenzi wako sasa ametulia na mambo yako yatakunyookea.
☣️MASHUKE– (Agosti 24- Septemba 23)
Leo Ukimuona Mwanamke ananyonyesha hiyo ni dalili kuwa mambo yako ya kimapenzi sasa yatageuka na kuwa ya kugombana gombana, unashauriwa kuwa mtulivu na kutotaka kujibishana kila wakati.
☣️MIZANI– (Septemba 24- Oktoba 23)
Siku ya leo unatakiwa kuwa mwangalifu sana kwa kila jambo unalotaka kulifanya hasa linalohusiana na pesa vinginevyo ipo hatari ya kupatwa na balaa. Pata ushauri wa kisheria kwa kila jambo unalotaka kulifanya.
☣️NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Wikiendi hii unatakiwa kuwa mwangalifu na rafiki zako fanya mambo yako bila ya kuwashirikisha kwa kipindi hiki kwani wanampango wa kukugeuka na kukudhulumu.
☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Lazima katika mambo yako uwashirikishe wazee ndio utafanikiwa. inaonekana utakuwa katika wakati mgumu mno wa kuamua mambo ambayo umeshawishiwa na rafiki zako wa karibu, kuwa mwangalifu na uamuzi utakaouchukua.
☣️MBUZI- (Desemba 21– January 20)
Leo Jaribu kuwa mwangalifu sana, wenzio wana mpango wa kukudanganya na kuna uwezekano wa kufanya mambo kwa kushirikiana na adui zako baada ya kushawishiwa kukufanyia ubaya.
☣️NDOO– (January 20– February 19)
Ikitokea leo wakati wowote ukaona kitu cha kukushangaza, au kitu ambacho unahisi hujakiona maishani mwako, hiyo ni dalili ya kupona maradhi yako ambayo yamekuwa yakikusumbua kwa muda mrefu.
☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo akikujia mtu akataka Mazungumzo ya aina yoyote kutoka kwako, hiyo ni ishara ya kwamba leo utatukuzwa kwa jambo utakalolifanya na utapata matatizo katika malengo yako uliyoyapanga kwa wiki nzima.
☣️PUNDA- (March 20- April 20)
Leo ukikutana na mtu akakusimamisha, hiyo ni dalili ya kujipatia upendeleo fulani katika shughuli zako za kila siku pia kama mtu huyo ni mwanammke basi hiyo ni dalili ya kupata cheo.
☣️NG’OMBE– (April 21– May 21)
Kama Leo akikujia Mkweo au ukipata salamu za mwanao hiyo ni dalili ya kupata Safari ndefu, utapata kitu kizuri au biashara zako zitakuendea vizuri, Unashauriwa kuwa mkarimu kwa kila atakaekujia na shida yake.
☣️MAPACHA- (May 23- Juni 23)
Leo unatakiwa kufanya mambo mapya ili kujipatia kipato, mambo yako ya zamani ni bora ukayaacha kwanza au kuyapanga upya. Unashauriwa kuwatembelea wazee wako ili kupata baraka zao kwa kila jambo unalotaka kulifanya.
☣️KAA– (Juni 22- Julai 23)
Leo mambo yako yatakuendea kama ulivyopanga bila ya kuingiliwa na mtu au vikwazo vyovyote, uhusiano ambao umevurugika kati yako na Mpenzi wako sasa utatengemaa.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake, na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake, wengine mlioko nje ya nchi, shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments