Nyota Yako Leo Jumamosi Jul 06 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMAMOSI  JULAI 06/2019:

🔯SIMBA LEO– (Julai 24– Agosti 22)
Mashindano au mitihani inayokukabili utashinda lakini usipokuwa makini upo uwezekano wa kupata hasara ya mali au pesa. Pendelea sana kufanya ibada kwa mujibu wa imani yako na ikiwezekana toa sadaka au wasaidie wenye shida hata kwa ushauri na utaona ajabu.

🔯MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Leo inaonekana Kuna dalili ya kugombana na kila utakaemuendea kwa sababu ya kumdai mali yako, kuwa na tahadhari kwa sababu mpenzi wako atakughasi kwa kutaka umpe vitu ulivyomuahidi.

🔯MIZANI– (Septemba 24- Oktoba 23)
Leo lazima ujue kuwa jambo lolote unalolitaka hivi sasa litakuwa gumu au halipatikani na hata likipatikana ni baadaye mambo yako mengi yatalala au kusimama, unatakiwa kuwa mwangalifu kwa kila kitu unachotaka kukifanya, katika matembezi yako usipende kuwa gizani.

🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Jumamosi ya leo unaweza kupata misukosuko na hatari kubwa Pendelea kurudi nyumbani mapema.

🔯MSHALE– (Novemba 23– Desemba 21)
Siku ya leo nyota zinaonyesha kuwa kuna taabu na ujue huko uendako hakuna usalama ama wako au hata wa huyo unayempenda jambo la muhimu ni kugeuza na kurudi nyumbani.

🔯MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Leo una wasiwasi kwa ajili ya kitu kilichokutoka, kama kimepotea Wiki hii utambue mambo mazuri na hasa kama yanahusu pesa na utafanikiwa kwa haraka bila kutarajia.

🔯NDOO– (January 21– February 19)
Mchana wa leo kuna dalili ya kukutana na mtu unayefanya ya ukarani ambaye utamtaka na atakuwa mpenzi mume au mke mzuri sana katika mapenzi au ndoa yao.

🔯SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo ukipata salamu au ujumbe kutoka kwa rafiki yako au akija ghafla au ukikutana naye njiani, basi ujue hiyo ni dalili kwamba kuna habari nzuri za safari utakazopata leo. Jaribu kufanya utafiti wa mambo yako kabla hujachukua hatua.

🔯PUNDA– (March 20- April 20)
Leo ukimuona mtu mzima anabishana na mwenzie, hiyo ni dalili ya kwamba kazini kwako kuna hatari ya kupinduliwa wadhifa wako na msaidizi wako au mikutano kuvunjika jihadhari na mzozo wowote na wakubwa zako Waone wataalam kuzuia hali hiyo.

🔯NG’OMBE– (April 21– May 21)
Kesi michezo au mashindano ni mazuri kwako wiki hii, utabanwa na shughuli nyingi zitakazo husiana na vikao vya mara kwa mara. Unashauriwa nyakati za jioni kumbuka kumuomba Mungu.

🔯MAPACHA– (May 21 Juni 20)
Kuna dalili ya kutokewa na mambo ya aibu kwako wiki hii au huko kazini kwako utagombanisha wapenzi zaidi ya mmoja watakaokujia kwa wakati mmoja Jihadhari sana.

🔯KAA– (Juni 22- Julai 23)
Siku nzuri sana kwako kama una Kesi utashinda kuna dalili kwamba utaaminiwa na watu wengi katika kuwaongoza katika shughuli zao ili kutunza heshima yako jaribu kuwashirikisha wazee kila jukumu utakalopewa.                               SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku. ingia katika pager yetu ya Facebook >>tumaini tiba asili << utaona yota yako kila siku SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745 495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini