Nyota Yako Leo Jumanne Jul 09 2019 | ZamotoHabari.


NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 09/2019:

☣️SIMBA LEO- (Julai 22- Agosti 22)
Jumanne ya leo inaweza kuwa na utata kwako kuwa muangalifu na mtu yoyote ambaye utashirikiana nae katika jambo lolote wengine utakaowaamini wanaweza kukuingiza katika mambo ambayo yatakuletea balaa kubwa na hasara kuwa macho sana.

☣️MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Hii ni siku ambayo kuna uwezekano mkubwa wa urafiki wako kuvurugika. Kuwa makini katika ushirikiano na marafiki zako wengine sio marafiki wa kweli. Wanakuhitaji kwa ajili ya kupata kitu kutoka kwako.

☣️MIZANI– (Septemba 23- Oktoba 23)
Jumanne ya leo Pamoja na kwamba itakuwa siku nzuri kwa kila jambo lako utakalolifanya usianzishe mambo mapya endeleza yale ya zamani na utafanikiwa tu.

☣️NG'E- (Oktoba 23- Novemba 22)
Tumia siku ya leo kukamilisha mambo yako uliyokuwa umeyapanga kufanya, Nenda safari, kutana na wadau wa shughuli zako na tekeleza majukumu yako kazini Mambo mazuri yanakuja.

☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Leo ni siku nzuri kwako, uwezekano wa wewe kufanikiwa katika mambo yako upo mkubwa tu ila jaribu sana kuwa muangalifu katika kila jambo ambalo umepanaga kulifanya unaweza kuharibikiwa.

☣️MBUZI– (Desemba 21– January 20)
Leo kukutana na wakubwa zako upate ushauri vinginevyo itakuwa vigumu kwako kutatua matatizo yako yanayokukabili hasa yale yanayohusiana na mapenzi na ndoa kama yapo.

☣️NDOO– (January 20- February 19)
Siku ya leo Ili kufanikiwa mipango yako ni lazima ukutane na wakubwa wakusaidie kuondokana na yanayokusibu vinginevyo hakuna mafanikio utakayopata katika jambo lolote.

☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo sharti uelewe kwamba hata kama ukikubaliana na mtu yoyote jambo lolote atakwambia usubiri kwanza au atakucheleweshea mahitaji yako, kutokana na hali hiyo kuwa na subira na tumia busara utafanikiwa.

☣️PUNDA– (March 20- April 20)
Jumanne ya Leo jaribu sana kuwa karibu na watu wako wasikilize matatizo yao na wasaidie utabarikiwa, Fanya mambo yako bila uoga wala hofu na utafanikiwa.

☣️NG'OMBE– (April 21- May 21)
Leo kuwa makini unaweza kupata hasara kubwa katika biashara zako Tegemea kupata mgeni wiki hii ambaye atakuletea mpango mzuri.

☣️MAPACHA– (May 21- Juni 20)
Wiki hii kuwa na tahadhari, jiepushe kujumuika na makundi yasivyofaa, Kama una matatizo yoyote ambayo yanakusumbua jaribu sana kuwasiliana na wakubwa zako ili wakusaidie hata kupata ushauri.

☣️KAA– (Juni 21- Julai 22)
Jifanye mjinga kwa leo fanya mambo kwa siri ili kupisha dhahama Leo kuwa na tahadhari mambo yako yapo hatarini kuharibiwa na watu hasa wale ambao wako karibu na wewe.            SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota. kuondoa nussi mikosi. kutoa majini wabaya. kutafsiri ndoto. kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo. kupata kazi. kupata cheo. kushinda kesi. kufaulu masomo. nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini