NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JULAI 21/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 23– Agosti 22)
Kipindi hiki hasa leo kuna dalili kwamba matatizo yako yatakwisha au kupungua kwa kiasi kikubwa Ile mikosi iliyokuwa inakuandama wewe mwenyewe au familia yako itakwisha kwa msaada wa mtu kutoka mbali atakayekuja kati ya leo na Jumatatu.
☣️MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Mchana huu ukimuona mtu kitambaa cheupe na kasimama nje ya nyumba, hiyo ni dalili kwamba mambo yako mengi yatakuwa hadharani unashauriwa nenda safari yako na kila unalotaka kulifanya ulifanye haraka sana.
☣️MIZANI– (Septemba 24- Oktoba 23)
Mchana huu inaonekana kinyota utakuwa unafikiri juu ya nafsi yako,utataka kujua maisha na hali yako itakuwaje. Pana kazi au jambo ambalo unashaka nalo kama litatimia au vipi? mambo yako unayotaka yatakuwa kwa kupata ushauri wa rafiki yako Usipopata msaada yataharibika.
☣️NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Mchana huu pana mgeni unayemtegemea au kitu kilichopotea ambacho unataka sana kujua habari zake, Nyota zinasema kuwa Mgeni atakuja kati ya leo na siku tatu zijazo na na kitu kipo muulize mdogo wako atakwambia hiyo. Kimehifadhiwa kwenye kona au chini ya kitanda.
☣️MSHALE– (Novemba 23- Desemba 21)
Mchana huu una hamu ya kukutana na mpenzi wako na kujua juu ya safari au biashara na kazi. shughuli zako za kawaida zina uzito na kuna mtu anataka kukukwamisha dawa, Fanya ibada na sala kwa mola wako Mambo yako mengi yatanyooka baada ya kujirudi.
☣️MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Leo ujue kuwa yote unayoyataka yakiwa ya kimapenzi, kibiashara na kimaisha yatatimia kati ya leo na Jumatatu au Ijumaa usiku Hakikisha kila neno unaloambiwa unalifanyia kazi.
☣️NDOO– (January 21– February 19)
Siku ya leo ikitokea ukapita mahala ukakuta sherehe, hiyo ni dalili kuwa Mpenzi wako atarejea salama, na utashinda mitihani na adui yako atajuta.mambo yako yatafunguka na mikwamo ya hapa na pale itapotea.
☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo ukiona watu wamekaa pamoja wakicheka na kuongea kwa fujo, Lazima utapata kitu unachokitaka au pesa unazohitaji au mtu unayemtarajia. Mtoto au kitu kilichopotea kitarejea. Jihadhari na marafiki zako inaonekana wiki hii watakujia na mpango ambao ya kukupotezea pesa.
☣️PUNDA- (March 21- April 20)
Kama ikiwa Leo unafikiria Safari basi ujue safari hiyo ni nzuri, na biashara yako itafanikiwa mambo yako hayatakuendea vizuri Unashauriwa kuwa kufanikiwa kwa mambo yako kunahitaji wewe uanze kujishughulisha na mambo hayo mara moja wala usisite site.
☣️NG’OMBE– (April 21– May 21)
Mchana huu kuna dalili huko uendako utakumbana mambo ya vitisho au kutatokea hali ya kutoelewana na mtu unayemdai. unashauriwa kuwa pesa hizo au kazi unayoitaka itapatikana tu baada ya mtu fulani kurejea, au baada ya kupata barua.
☣️MAPACHA– (May 21- Juni 21)
Leo utapata raha katika matembezi yako utakayoyafanya jioni , pia yule mpenzi wako atakutembelea na kukuburudisha. Ukikosa vitu hivyo basi cheo lazima utapata, lakini unashauriwa uwe na tabia ya kuacha wasiwasi na uwe na moyo wa kujitegemea.
☣️KAA– (Juni 22- Julai 22)
Siku tatu zijazo kuwa waangalifu sana hasa katika mambo madogo madogo, kila kitu chako kiwe kinakwenda katika mpangilio maalum, kuwa makini sana katika masuala ya uvaaji, huko uendako kuna kudanganyana tu hakuna maelewano yeyote mtakayoyafikia, kwa kuwa unayemfuata huko amepanga kukudanganya.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo,
matatizo ya kinyota, mahusiano, mateso ya majini wa kila aina magonjwa mbali mbali majini mahaba kusafisha nyota nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +25545495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments