NYOTA YAKO LEO JUMATANO JULAI/ 10/2019:
☣️SIMBA LEO– (Julai 22- Agosti 22)
Afya yako na ya jamaa yako inaonekana kuathirika kidogo hivyo unashauriwa upate matibabu haraka iwezekanavyo la sivyo matatizo yatazidi na madhara yatakuwa makubwa sana.
☣️MASHUKE- (Agosti 23- Septemba 23)
Leo Jaribu uwe mtu mwenye roho nzuri kwa kila mtu kwa sababu kwa kufanya hivyo unaweza kupata faida usiyoitegemea ambayo itakunufaisha kimaisha wewe na familia yako.
☣️MIZANI– (Septemba 23- Oktoba 23)
Mambo sio mazuri kwa upande wako na usifanye mchezo utaharibikiwa pakubwa.
☣️NG'E- (Oktoba 23- Novemba 22)
Mpango wowote uliokuwa nao, sasa ndio wakati wake hasa wa kuutekeleza kutokana na hizo fedha kidogo ulizopata, muda ukipita hutafanya lolote, wakati ndio huu.
☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Kuwa makini kwa siku ya leo wenda ikawa tofauti na unavyofikilia kubwa Usiwe mbali na familia tako unashauriwa itumie siku ya leo kufanya mema.
☣️MBUZI– (Desemba 21– January 20)
Kuna kitu kimekutoka na hapo ulipo unafikiria sana kuhusiana na kitu hicho Fanya juu chini ukipate kwa sababu madhara yake yanaonekana yatakuwa makubwa sana.
☣️NDOO– (January 20- February 19)
Mtu ambaye hujakutana nae kwa siku nyingi atarudi na atakushirikisha katika mipango ya faida katika maisha yako hivyo basi kaa tayari kumsubiri wakati wowote atawasili.
☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Mapenzi yaliyokutoka au kuharibika hayatatengemaa tena, pamoja na hayo usijute kwa sababu kuna mazuri mbele ya safari ambayo yatakujia wiki hii kutoka sehemu ambayo hukuitegemea ondoa khofu.
☣️PUNDA– (March 20- April 20)
Kazi unayofanya kwa sasa ni nzuri ila unatakiwa kufanya bidii zaidi katika kazi hiyo na tafuta njia zaidi za kupata pesa. Leo ni siku iliyogawanyika nusu kwa nusu nzuri na mbaya.
☣️NG'OMBE– (April 21- May 21)
Jitahidi uone hukwami kumaliza jukumu la kikazi ulilopewa kila siku la si hivyo fitina ofisini zitakuandama.
☣️MAPACHA– (May 21- Juni 20)
Inaonekana kuwa mambo ya kipesa yanakutatiza sana na hutoweza kujikwamua na hali hiyo ngumu mpaka upate msaada wa mtu Fulani ambaye uliwahi kumuomba msaada Mwendee hivi sasa msaada utaupata.
☣️KAA– (Juni 21- Julai 22)
Bahati itakujia hivi karibuni na utapata pesa, kuwa muangalifu katika matumizi yako la sivyo unaweza kuja kujuta hapo baadae kutokana na matumizi mabaya uliyoyafanya. SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufauru masomo nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku. ingia katika pager yetu ya Facebook.>> tumaini tiba asili<< utaona yota yako kila siku SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments