Nyota Yako Leo Jumatatu Julai 08 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMATATU JULAI 8/2019:

🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Waliotaka kukwamisha mipango yako wameshindwa fanya sasa lile ulilokusudia Kuna bahati inayokuja mbele yako Jaribu kutafuta ushauri wa konyota.

🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Vikwazo sasa vimekwisha na mafanikio yanakuja kwa kasi ila utasikia habari itakayokukatisha tamaa.

🔯MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Penzi unalotaka kuingia lina faida kubwa kwako utasahau kero za miaka mingi lakini utasumbuliwa na maradhi kati yenu wawili mipango ya fedha itasuasua.

🔯NG'E– (Oktoba 23- Novemba 22)
imekuwa vigumu kwako kufanya maamuzi kuhusiana na mambo Fulani na ukajikuta uko njia panda itakayokutenganisha na mambo mengi. Leo amua cha kufanya katika kufikia malengo yako unayoyataka.

🔯MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Leo utahitaji ushauri wa dharura na wa kitaalamu ili kuweka mambo yako sawa Kutimia kwa mipango yako uliyonayo wakati huu kunategeme wewe utajihusisha na watu wa aina gani.

🔯MBUZI– (Desemba 21- January 20)
Umesitasita kwa muda mrefu sasa katika kufanya maamuzi lakini leo ndio siku ya kufanya maamuzi Usiogope fedheha piga moyo konde iwapo unataka kufaulu.

🔯NDOO– (January 20- February 19)
Leo kuna bahati kubwa sana itakujia upande wako ,watu wengi watakuchangamkia na watakuwa tayari kukusaidia kuyashughulikia matatizo yako yanayokukabili.

🔯SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo kuwa na moyo mkunjufu. Jitahidi kujielekeza kwa mambo mema na usijaribu kusema uongo unaweza kuumbuka Utakutana na mtu na atakutaka muwe wapenzi mkubalie iwapo huna mtu kwa sababu utapata faida kubwa kwa hilo.

🔯PUNDA– (March 20- April 20)
Leo ni Jumatatu nzuri sana kwako hasa katika kutafakari kuhusiana na maisha yako ya baadae, yaweke pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako.

🔯NG-OMBE– (April 21- May 20)
Leo jitahidi kujiepusha na marafiki wasio na tija kwako. Unahitaji utulivu wa hali ya juu katika kutekeleza majumu yako yanayokukabili umpendae unaweza ukapa ufumbuzi au utatuzi wa shida zako zinazokukabili.

🔯MAPACHA– (May 21- Juni 20)
Jaribu sana kujiweka mbali na marafiki wabadhirifu iwapo utataka kufaulu katika maisha yako umekuwa ukitumia vibaya fedha zako katika siku za hivi karibuni kiasi kumeshindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yako ambayo umejipangia wewe mwenyewe.

🔯KAA– (Juni 21- Julai 22)
Onyesha roho ya huruma na uwe na hisani kwa kila mtu, tabia hiyo watu itawafanya watu mara kwa mara ili uwape msaada kama unavyotoa kwa wengine na wakija wasaidie wala usichoke.      SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, na naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku. ingia katika pager yetu ya Facebook.>> tumaini tiba asili <<utaona yota yako kila siku SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini