NYOTA YAKO LEO JUMATATU JULAI 22/2019:
☣️SIMBA LEO- (Julai 22- Agosti 22)
Jitahidi sana kujielekeza kwa kufanya mambo mema unaweza kufanikiwa kwa yale ambayo unatarajia kuyafanya usipofuata hivyo utakwama.
☣️MASHUKE- (Agosti 23- Septemba 23)
Usiwe na wasiwasi kabisa siku ya leo utaona mabadiliko makubwa mengi sana katika maisha yako Yakitokea hayo yakubali.
☣️MIZANI- (Septemba 23- Oktoba 23)
Umekuwa ukisumbuliwa na mabalaa na mikwamo kwa muda mrefu na ndio wakati hasa wa kuyashughulikia hayo matatizo yako na kuyamaliza.
☣️NG'E- (Oktoba 23- Novemba 22)
Huu ni wakati mzuri sana kwako hasa katika kutafakari kuhusiana na maisha yako ya baadae, biashara vile vile zitakuwa nzuri.
☣️MSHALE- (Novemba 22- Desemba 21)
Kumbuka bahati huja mara moja tu, acha kabisa tabia ya kujivuna na kuonyesha kama hujali binaadamu wenzio sikiliza ushauri wa ndugu zako na wazazi wako na utafanikiwa.
☣️MBUZI- (Desemba 21- January 20)
Inaonekana fedha zimekuwa zikikupiga chenga kwa muda mrefu sasa, hata hivyo kuwa na faraja kwa sababu nyota zinaonyesha kuwa matatizo hayo yatakwisha na milango ya kipato itafunguka kuanzia Leo hii.
☣️NDOO- (January 20- February 19)
Unatakiwa kuwa na tahadhari kubwa mambo yako mengi yafanye kimandishi unaweza ukatapeliwa au kudhulumiwa usipokuwa makini Pamoja na hayo ni siku mzuri sana kwako kibiashara.
☣️SAMAKI- (February 20- March 20)
Tafuta njia ya kuondoa husda nuksi na chuki binafsi kabla hazijaenea sehemu kubwa na kukuharibia mambo yako yote uliyojipangia kuyafanya Katika mwezi huu.
☣️PUNDA- (March 20- April 20)
Amua cha kufanya katika kufikia malengo yako unayoyataka isi
kuwie vigumu kufanya maamuzi hasa yanayohusiana na maendeleo yako kwa ujumla.
☣️NG'OMBE- (April 21- May 20)
Siku ya leo unatakiwa kujiepushe na ushauri kutoka kwa watu au ndugu wasio na tija kwako Unahitaji utulivu wa hali ya juu katika kukamilisha majukumu yako yanayokukabili na utafanikiwa.
☣️MAPACHA– (May 21- Juni 20)
Jaribu sana kujiweka mbali na marafiki wabaya kama utataka kufaulu katika maisha yako vinginevyo mambo yako yatakuwa kama ya mwaka uliopita.
☣️KAA– (Juni 21- Julai 22)
Huu ni Wakati ambao unatakiwa kuwa mpole na uwe na hisani kwa kila mtu, tabia hiyo itawafanya watu wakusaidie kwa kila jambo lako utakalotaka kulifanya katika huu.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments