Rais Magufuli awasalimu abiria wa Daladala | ZamotoHabari.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli awasalimu Abiria wa Daladala iliyokuwa ikitoka Bukoba mjini kuelekea Karagwe mjini mara baada ya kuwasilimu wakati waliposimama katika Kituo cha Daladala kilichopo katika kijiji cha Kihanga nje kidogo ya Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini