SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA DKT MAKAKALA JIJINI DODOMA | ZamotoHabari.


 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea  Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akiagana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini