VIDEO:Diamond Platnumz Awazawadia Magari ya Bei Mbaya Mama yake Mzazi na Mpenzi Wake Tanasha | ZamotoHabari.




STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kuwazadia magari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .pamoja na mpenzi wake Tanasha

Diamond amefanya hivyo wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 52 Mama yake na Mpenzi wake Tanasha kutimiza miaka 24

Gari zilizotolewa ni aina ya Toyota Prado V8




Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini