Habari zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, lori la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua idadi kubwa ya watu ambayo bado haijafahamika.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa lori la mafuta (petroli) lilipinduka, hivyo watu mbalimbali, wengi wao wakiwa madereva wa pikipiki wakaenda eneo la tukio na vibebeo kwa lengo la kupata mafuta.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments