BREAKING NEWS: Watu watano Wafariki Baada ya Magari Kugongana, Moja Lawaka Moto | ZamotoHabari.


Watu watano wamefariki baada ya gari la Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na Gari dogo na kupinduka kisha kuwaka moto baada ya kupoteza muelekeo na kugonga nguzo ya umeme rufiji mkoani Pwani.

RPC Rufiji,  Onesmo Lyanga amethibitisha taarifa hizo.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini