Kwa mara ya kwanza Afrika watu walio na jinsia mbili wasajiliwa Kenya | ZamotoHabari.


Kenya inaandikisha historia barani Afrika kwa kuwajumuisha huntha (watu wanaozaliwa na jinsia mbili) kwenye zoezi la kuhesabu Wakenya. James Karanja, ambaye alilelewa kama msichana hadi akiwa miaka 18, anaeleza masaibu yanayowakumba watu wanaozaliwa na hali kama yake.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini