Malaika Aelezea Ukimya Wake | ZamotoHabari.

Malaika aelezea ukimya wake
BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki wa Kizazi Kipya, Diana Exavery ‘Malaika’ ameeleza ukimya wake umesababishwa na kujipanga lakini pia kukwepa ‘vita’ na binadamu.

Malaika aliiambia Risasi Vibes kuwa, ameamua kukaa na kutafakari mambo mengi yaliopita kwenye maisha yake na ndiyo maana amekuwa kimya na ahitaji kufanya vita na mtu yeyote zaidi ya Mungu tu.

“Unajua nipo kimya kwa sababu napanga mambo yangu mengi na kingine sihitaji vita na binadamu ukiwa kimya hiyo inasaidia usikumbane na mambo ya ajabu, sasa hivi namtumainia aliye juu tu na si kingine,” alisema Malaika
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini