Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kuongoza kuwa na wanawake wengi wanene na wenye viribatumbo nchini Tanzania.
Mkoa wa Dar es salaam umeshika nafasi ya pili kwenye utafiti huo, Uliotolewa na Mkurugenzi wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania Dkt. Germana Leyna.
Sababu hasa zinazopelekea matatizo hayo, Ni kutozingatia lishe bora na mazoezi.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments