Mkazi wa kijiji cha Ilagala, Wilayani Uvinza, Deborah Yotham, akisoma kipeperushi chenye kueleza kuhusu ugonjwa wa Ebola, wakati wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililoendelea kufanyika mkoani Kigoma tarehe 6 Agosti, 2019.
Daktari wa Kituo cha Afya Ilagala Wilayani Uvinza, Reuben Mwakilima, akitoa taarifa kwa njia ya simu kwa Mganga wa Mkoa wa Kigoma, juu ya mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola kufika kituoni hapo wakati wa kuigiza zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililoendelea kufanyika mkoani Kigoma tarehe 6 Agosti, 2019.
Mmoja wa Watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala Wilayani Uvinza, , akijiandaa kumbemba mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola kufika kituoni hapo wakati wa kuigiza zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililofanyika katika kituo hicho tarehe 6 Agosti, 2019.
Mmoja wa Watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala Wilayani Uvinza, , akimuhudumia mgonjwa aliyehisiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola kufika kituoni hapo wakati wa kuigiza zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa huo lililofanyika katika kituo hicho tarehe 6 Agosti, 2019.
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faraja Msemwa akifafanua umuhimu wa vifaa Kinga, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala wakati wa kuigiza zoezi la hilo lililofanyika katika kituo hicho tarehe 6 Agosti, 2019.
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ambele Eliah akifafanua namna ya uchukuaji wa sampuli, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala, wilayani Uvinza, wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika kituo hicho tarehe 6 Agosti, 2019.
Mwezeshaji wa zoezi la kupima Utayari wa kukabili Ugonjwa wa Ebola mkoani Kigoma, kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Vida Mmbaga akifafanua umuhimu wa zoezi hilo, kwa watoa huduma ya Afya katika Kituo cha Afya Ilagala, wilayani Uvinza, wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika kituo hicho tarehe 6 Agosti, 2019.
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments