Virgil van Dijk ang’ara tuzo za UEFA, Lionel Messi akwara moja, Ronaldo atoka kapa | ZamotoHabari.



Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi na beki wa Liverpool, Virgil van Dijk wameng’ara kwenye usiku wa ugawaji wa tuzo za Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) za  msimu wa 2018/19 .



Kwenye tuzo hizo, Messi ameibuka na tuzo ya mshambuliaji bora barani Ulaya, huku kiungo wa Barcelona, De Jong  akiibuka na tuzo ya kiungo bora.

Naye, Beki wa Liverpool, Virgil van Dijk  amechukua tuzo ya mchezaji bora barani Ulaya kwa msimu wa 2018/19 na Beki bora barani Ulaya akiwamwaga Lionel Messi na Ronaldo.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini