Vodacom yaunga mkono serikali usajili wa alama za vidole | ZamotoHabari.




Meneja wa Vodacom Tanzania Plc wilaya ya Kinondoni, Suleiman Amri akimsajili Mama Maria Nyerere kwa njia ya alama za vidole nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc inaendelea kuunga mkono zoezi hilo lililoainishwa na serikali na kuhamasisha watu wote kujisajili kwa njia ya alama za vidole ambayo ni ya haraka na haina gharama yeyote



Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini