MSANII maarufu wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba, aliyekuwa miongoni wa mastaa waliohudhuria uzinduzi wa filamu mpya ya msanii Gabo uliofanyika jana katika ukumbi wa sinema wa Mlimani City, amesema yeye hana haja kuishi maisha ya kistaa kama walivyo wasanii wengine na kwamba anayafurahia maisha hayo.
Kiba alikuwa katika uzinduzi wa failamu hiyo iliyopewa jina la SIYABONGA ambayo imekuwa filamu ya kwanza kuwekwa kwenye Platform ya SWAHILIFLIX na mashaabiki wanaweza kuingalia kwa kuipakua kwenye simu zao.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments