Maungo Yangu Yananipa Tabu Sana, Natongozwa Kila Kukicha | ZamotoHabari.


Mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa ila ninakutana na vishawishi vingi kila siku, yani sina amani kila mwanaume anatamani anione nilivyo nikiwa mtupu, na hiyo ni kwa ajili ya umbo langu kiuno nyingi ila nina tako balaa na miguu mizuri, tena wanakuja kwa njia za pesa na magari lakini namuheshimu mume wangu sitoe mwanya hata kidogo japo ilinifanya nikafukuzwa hata kazi niliyokuwa nimeajiriwa baada ya kumkataa bosi
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini