Nandy Amkana Billnass Mchana KWEUPE....'Mpenzi wa Billnass Yupo' | ZamotoHabari.


“Sijarudiana na Bilnass labda watu hawakutegemea kuona kazi yetu” .

Nandy atolea ufafanuzi juu ya ukaribu wake na Billnas “Mimi na Billnass hatujarudiana labda watu hawakutegemea kuona tunatoa kazi hivi karibuni, na labda video ilichangia lakini hatuna mahusiano na hata wakati tunarekodi video ya Bugana mpenzi wake alikuwepo location” Nandy XXL
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini