Rais Magufuli atangaza siku 3 za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Baba wa taifa la Zimbabwe Robert Gabriel Mugabe | ZamotoHabari.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametangaza siku 3 za Maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini