Taifa Stars Waondoka Kuelekea Burundi Leo | ZamotoHabari.

 


Wachezaji wa Timu ya Taifa wameondoka leo asubuhi Septemba 3, 2019 kuelekea nchini Burundi kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar dhidi ya Burundi mchezo wa Kwanza utachezwa Burundi Septemba 4 na marudiano Uwanja wa Taifa Septemba 8,2019

         

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini