Vurugu za Afrika Kusini zapelekea Fid Q Kuhairisha Show Yake Kwa Madiba (Viideo ) | ZamotoHabari.


Mkali kutokea kwenye game ya Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q amezungumza sababu zilizopelekea yeye kuhairisha show yake ya MTV BASE SHOW CASE aliyokuwa anatarajia kuifanyika nchini Afrika kusini September 6 2019.

Fid Q amesema vurugu zinazoendela Afrika kusini kuhusu wageni zimechangia yeye kuhairisha kwenda kufanya show nchini humo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama zaidi alichozungumza Fid Q.

VIDEO:

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini