Amber Lulu Sina Urafiki na Gigy Money...Urafiki Wetu Uliisha Kitambo | ZamotoHabari.

Mwanadada Amber Lulu amefunguka juu ya ukaribu wake na msanii mwenzie, Gigy Money kwa sasa nakuweka wazi kuwa hawako karibu kama zamani.

Kwenye moja ya Interview Amber Lulu aliulizwa "Ukaribu wako na Gigy kwa sasa uko kama zamani?

"Hapana ukaribu wangu na Gigy hauko kama zamani sababu ya majukumu, kila mtu anakuwa hata hivyo sitamani ukaribu wetu urudi kama zamani" amejibu Amber Lulu

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini