Dar es Salaam Mambo Safi Yawa Kinara wa Matokeo ya Darasa la Saba 2019 | ZamotoHabari.


Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba mwaka 2019. Nafasi ya pili ni Arusha na Iringa ukishika nafasi ya tatu, Mikoa mingine ni Kagera (4), Katavi(5) Kilimanjaro(6), Mbeya(7), Simiyu(8), Njombe(9) na Pwani nafasi ya 10.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini