Good News..Magari ya Kupaa Angani Kuanza Kutengenezwa Kukwepa Foleni.... | ZamotoHabari.



Kampuni ya Uundaji wa Ndege nchini Marekani, Boeing pamoja na Kampuni ya Uzalishaji Magari ya nchini Ujerumani, Porsche zimetia saini makubaliano (MoU) kwa ajili ya uundwaji wa Magari ya Umeme

Magari hayo yatakuwa na uwezo wa kupaa na kutua katika Mtindo wa Wima (Vertical Take-off and Landing (VTOL)) ili kuingia katika soko la huduma za usafiri maarufu kama 'Taxi', huduma inayozidi kukukua kila siku

Aidha, zitaunda timu ya kimataifa kushughulikia masuala mbalimbali ya Usafirishaji wa Anga mijini pamoja na uchambuzi wa uwezo wa soko la magari ya kulipia kwa watu wenye kipato cha juu 

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini