Katibu wa CCM wilaya ya Londigo Ezekiel Mollel akionyesha kadi alizozipokea jana kutoka kwa wanachama wa Chadema
Katibu wa Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Longido Ezekiel Mollel jana amewapokea wanachama wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),akiwepo katibu wa Chama hicho wilaya Mch Isaya Nguchika na mwenezi wake Emmanuel Rekali(Habari picha na Pamela Mollel)
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments