Lemutuz "Wabongo Wanafiki Sana Wamefurahia na Kutazama VIDEO ya Menina Mpaka Mwisho Alafu...." | ZamotoHabari.


FROM @lemutuz_superbrand

"ZE AKILI ZANGU ZA USIKU LIVE:...hahahaa ZE AKILI KUBWAZZZ ..The Art of Super Unafiki kila nilipo ona hizi picha na Video nimesoma Comments zote nilikua NINATAFUTA comment moja tu inayosema hivi ..."NIMEJARIBU KUANGALIA HIZI PICHA NA VIDEO NIMESHINDWA KABISA KUMALIZA MPAKA MWISHO" ...guys sijaona any Comment kama hiyo cause hiyo ndiyo Comment ya Binadam asiyekuwa Mnafiki na A Decent Human Being hawezi kuangalia hizi Video mpaka mwisho au hata Picha atasikia Kichefu Chefu ....tunadanganyana na UNAFIKI UNAFIKI wetu wa Kibongo yaani Watu wamefurahia kwanza kwa kuziangalia hizi Video na Picha mpaka mwisho ...halafu wametumiana kila mahali kwenye ma group wamezijadili mwanzo mwisho ....hatimaye ndio wanajitokeza na kuanza kulalamikia Maadili na Sheria ...guys kama kweli tungekuwa ni Taifa la Maadili kama baadhi yenu mnavyojifanya hakuna ambaye angethubutu kurusha hizi Video na Picha cause angetukanwa mpaka angefuta ....Muulize Dogo aliye post picha za Marehemu Ruge kwenye Jeneza alifuta mwenyewe baada ya Dakika Tano kutokana na matusi aliyomiminiwa na sisi Wananchi ...lakini hizi za Uchi Uchi ambazo tunazipenda sana huwa tunasua sua na SUPER UNAFIKI UNAFIKI ....guys tuwacheni Unafiki tunalimaliza Taifa letu wenyewe na hasa Watoto wetu ....TUNGEKUWA SERIOUS ON MAADILI ALIYEPOST WA KWANZA ANGEKULA MATUSI AKAFUTA MWENYEWE ....ila tunayapenda haya ....My Friend sana Dada Menina kuwa makini na hawa Wabongo ni waongo sana wamefurahia tepu zako sasa wanajibaraguza tu usiwasikilize kwenye kuamua what should be next USHAURI WANGU NI MSAMEHE ALIYEKUFANYIA MAISHA YASONGE ....mkienda Mahakamani yatazuka mengi mapya na yatahusisha wengi wasiokuwemo hasa watoto na wapenzi wenu LET IT GO BABE! ila jifunze from it maana hapo kuna Dhambi pia ya kutembea na Mume wa Mtu na Mungu anasema Mshahara wa Dhambi ni Mauti kama yaliyokukuta! ..wanaosema They Stand with you ni WANAFIKI cause ina maana wana ku support kutembea na mume wa mwenzako it is wrong! ...Relax and Let it Go! ...CASE CLOSED!" - @lemutuz_superbrand
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini