Tahadhari ya mvua kubwa yatolewa kwa wakazi wa Dar, Tanga na Pwani | ZamotoHabari.


Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya mvua kubwa katika mikoa ya Dar es salaam, Pwani, Tanga na visiwa vya Pemba na Unguja.



Taarifa hiyo iliyotolewa na TMA, Imesema kuwa mvua kubwa itanyesha siku mbili yaani Alhamisi Oktoba 17 na Ijumaa Oktoba 18, 2019 hivyo wananchi wachukue tahadhari na mvua hizo.

Madhara yanayoweza kujitokeza ni pamoja na watu kuchelewa kazini, Na kusimama kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini