Zitto Kabwe: Taarifa ya DPP Bado tu? Mbona Kimya Tangu Jana sio Kawaida Yenu | ZamotoHabari.


Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe azidi kushikilia bango sakata la kuibiwa kwa kompyuta katika ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Biswalo Mganga huku akidai mbona kimya hawatoi taarifa tangu jana.

Zitto ambaye ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo aliandika ujumbe huo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa sio kawaida yao kukaa kimya huku akionyeshea video ambayo yupo Rais John Magufuli.

Aliandika ujumbe huu ” Press release ya DPP bado tu? Mbona kimya tangu jana. Sio kawaida yenu. Mtujuze Watanzania ni haki yetu..,? Aliandika Zitto


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini