"Sikuwahi kupanga kuweka mahusiano yangu wazi, lakini najishangaa why sasa nayaweka wazi maana kuna wakati tunajichukua video na picha na sio kwa sababu ya kupost lakini najikuta tayari nimepost na nadhani yote haya yanatokana na kupata mtu sahihi kwangu na najivunia kuwa naye” - Benpol
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments