Diamond na TIMU yake Waongoza Kutazamwa Yotube | ZamotoHabari.


Wastani wa utazamaji wa video (kwa siku) katika mtandao wa YouTube kwa chaneli za baadhi ya wanamuziki wa #Tanzania kati ya Novemba 22 hadi Disemba 30, 2019:

1. Diamond Platnumz: 1.3M
2. RayVanny: 436K
3. Harmonize: 415K
4. Aslay: 218K
5. Mbosso: 179K
6. Ali Kiba: 51K 

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini