Miili ya watu saba iliyokuwa na majeraha ya bunduki imepatikana hapo juzi nchini Afrika Kusini karibu na barabara kuu katika mji mkuu wa Johannesburg,
Msemaji wa polisi nchini humo Noxolo Kweza alisema waliofariki wanashukiwa kuhusika na uchimbaji haramu wa madini.
Wahasiriwa hao, ambao wote ni wanaume wenye umri kati ya miaka 30 hadi 40, bado hawajatambuliwa.
Kumekuwa na mapigano kati ya wachimbaji haramu hapo zamani, lakini bado haijulikana kama vifo hivyo vilihusishwa na mapigano hayo.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments