Binti Aliyekuwa Anashiriki MAPENZI ya Jinisia Moja "USAGAJI" Afunguka Makubwa "Nikiona Demu Mkali Namtaka" Amtaja Wema | ZamotoHabari.

Binti akiyekuwa anashiriki Mapenzi Jinsia Moja  na Wakezawatu Amefunguka namna Alivyokuwa Akiwaweza Na Kuenjoy Nao,Amtaja mrembo Wemasepetu

"Kuna Kipindi Nilikuwa nawatongoza mimi Mwenyewe Yaani Nikiona Demu mzuri lazima nimtake ila baadae nikaona nisiwatongoze lakini wakawa wanakuja wenyewe kunitongoza, wengine wanataka kujaribu tu ikoje hiyo mapenzi ya jinsia moja....Walikuwa wanakuja kwasababu mimi nilikuwa nimejiweka wazi kuwa nashiriki mapenzi ya jinsia moja"


Tazama Video Kuendelea kumsikiliza:

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini