Breaking News: Mfalme wa Oman Afariki Dunia | ZamotoHabari.



Sultani wa Oman Qaboos bin Said amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 79.

Qaboos aliingia madarakani baada ya kumpindua baba yake mwaka 1970 na anasifiwa kwa kuwezesha mageuzi ya uchumi nchini Oman.

Sultani Qaboos hakuwa na mrithi wa kiti chake anayejulikana hadharani.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini