Chanzo Cha Uadui Mkubwa Iran na Marekani, VITA iliyoua Mamilioni, Ndege Kudunguliwa (+video) | ZamotoHabari.


Mauaji ya Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds ya Iran, Qasem Soleimani yameonyesha kuibuka upya kwa Uhasama wa Miongo kadhaa iliyopita baina ya Iran na Marekani, Swali la kujiuliza ni kwanini Mataifa haya mawili ni maadui wakubwa?, Nimekusogezea historia fupi ya uadui huu ulipoanzia.

 VIDEO:

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini