Huwezi Amini MTU Wangu Eti Jacqueline Mengi Ndie Mwanamke Mrembo zaidi Afrika | ZamotoHabari.


Mtandao maarufu wa ishu za mitindo na urembo wa Nigeria uitwao StyleRave umemtaja Mtanzania Jacqueline N. Mengi (41) kuwa ndiye Mwanamke Mrembo zaidi Afrika kutokea katika kipindi cha miaka 10.

Wakati Jacqueline (Miss TZ 2000) akitajwa kushika namba 1 kwenye orodha hiyo ya Warembo 30, Mrembo aliewahi kuwa 2nd runner-up Miss Tanzania 2006 Jokate Mwegelo (32)ametajwa namba 16.

Top 5 imemilikiwa na Nomzamo Mbatha wa South Africa, 4. Adut Akech wa Sudan Kusini 3. Linda Ikeji wa Nigeria. 2.Liya Kenede wa Ethiopia. 1. J.N Mengi wa Tanzania.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini