NEWZ ALERT YA AJALI:GARI NDOGO YAGONGA TRENI LEO JIJINI DAR | ZamotoHabari.

 Gari dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora. Ajali hiyo imetokea leo Januari 8, 2020 katika eneo la Vigunguti majira ya SAA 2:00 asubuhi ambapo Dereva wa gari dogo amekimbizwa hospitalini kwa matibabu. 

Tutawaletea taarifa zaidi kadiri ya zitakavyopatikana kutoka mamlaka husika


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini