Ohoooo.....tii sheria bila shuruti | ZamotoHabari.

Mbuzi nao wanafuata sheria bila shuruti kwa kutumia maeneo maalum ya kuvuka barabara! Wewe ni nani unayevuka barabara hovyo? Umeshindwa hata na mbuzi?
 
Eneo: Barabara ya Kawawa mbele kidogo tu ya Msimbazi centre kwenye makutano ya barabara ya kuelekea Jangwani, Dar es Salaam

Muda: Jana januari 12,2020,Picha kwa hisani ya Manyerere Jackton



Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini