Picha za Nandy Akiwa na Ommy Dimpoz Zikionesha CHUPI Live Zatolewa Ufafanuzi | ZamotoHabari.

Kama na wewe umeziona picha 9 za Nandy na Dimpoz ukatamani kupata maelezo yake, Dimpoz ameongea na millardayo.com

Mara ya mwisho kumuona Ommy Dimpoz kafanya ngoma na Msanii wa kike Tanzania ilikua zaidi ya maka mitano iliyopita alipoidondosha ‘me and you’ ft. Vanessa, time hii anaidondosha hii ft. Nandy.

Ukweli ni kwamba picha hizo zinatoka kwenye scenes za goma lake jipya ft. Nandy ambalo linadondoshwa siku yoyote wiki hii.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini