RAIS MAGUFULI KUWAAPISHA MABALOZI WATEULE ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI IKULU JIJINI DAR | ZamotoHabari.

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Mabalozi wateule wafuatao :-

1. Meja Jenerali Mstaafu Gaudence Milanzi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini

2. Dkt. Modestus Francis Kipilimba kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Namibia

3. Profesa Emmanuel David Mwaluko Mbennah kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe

4. Dkt. Benson Alfred Bana kuwa Balozi Tanzania Nchini Nigeria

Hafla ya uapisho inafanyika Ikulu Jijini Dar es salaam.


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini